The Tor Project Tor Logo Changia sasa
  • Kuhusu
  • Msaada
  • jumuiya
  • Blogi
  • Changia
English (en) Deutsch (de) Español (es) ﻑﺍﺮﺴﯾ (fa) Français (fr) Română (ro) Русский (ru) Türkçe (tr)
Pakua Tor Browser
Mafunzo

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Mafunzo ya Tor

Mafunzo
Mafunzo Localization Tembelea User Research Shughuli za rilei OnionServices
  1. Jiunge na jumuiya ya Tor
  2. Mafunzo
  3. Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Mafunzo ya Tor
  • Hatari
  • Rasilimali za mafunzo
  • Washiriki
  • Orodha hakiki ya mafunzo
  • Mazoezi bora ya Mafunzo
  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Mafunzo ya Tor
  • Miongozo ya usalama ya kidijitali
  • Kanuni za maadili kwa wakufunzi

  • Orodha hakiki ya mafunzo
  • Mazoezi bora ya Mafunzo
  • Rasilimali za mafunzo
  • Miongozo ya usalama ya kidijitali
  • Kanuni za maadili kwa wakufunzi
  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Mafunzo ya Tor
  • Hatari
  • Washiriki

Baada ya kuendesha mafunzo kadhaa ya Tor utaona kuwa watumizi wa kwanza wana maswali sawa kuhusu Tor. Yaliyoainishwa hapa chini ni baadhi ya maswali ya mara kwa mara tunayopata wakati wa vipindi vyetu vya mafunzo. Jitayarishe kwa maswali haya kabla ya kuendesha mafunzo yako. Kwa rasilimali nyingi zaidi, angalia lango la usaidizi.

  • Mbona inaitwa Tor?
  • Je,kutumia kivinjari cha Tor kulinda programu zingine kwenye kompyuta yangu?
  • Je kutumia Tor na VPN ni salama zaidi? *Je, ninaweza kuvinjari tovuti za HTTPS na Tor?
  • Inawezekana kujua njia ambayo mteja anachukua kwenye Mtandao wa Tor?
  • Mbona usiwazuie watu wabaya kufanya mambo mabaya wanapotumia Tor?
  • Ninapotumia kivinjari cha Tor kuna mtu yeyote ataweza kutaja tovuti ninazotembelea?
  • Kwa nini injini yangu ya utafutaji ilibadilika hadi DuckDuckGo? Au DuckDuckGo ni nini?
  • Kiungo ni nini?
  • Kivinjari cha Tor hakitaunganishwa, lakini haionekani kuwa suala la udhibiti.
  • Tofauti ni gani kati ya kutumia Kivinjari cha Tor na 'hali fiche' au kichupo cha faragha?
  • Je, kuendesha Kivinjari cha Tor kinanitengenezea rilei?
  • Nani anafadhili Tor? *Kuna mlango wa nyuma huko Tor?
  • Rudi kwenye ukurasa wa awali: Mafunzo - Hariri ukurasa huu - Boresha tafsiri hii

Pakua Tor Browser

PakuaTor Browser ili kupata uzoefu wa kuperuzi mtandaoni bila kufuatiliwa,kuchukuliwa taarifa zako na kudhibitiwa.

Pakua Tor Browser
Dhima yetu:

Kukuza haki za kibinadamu na uhurukwa kuunda na kusambaza teknolojia huru zinazopatikana bure na zenye kuwa na faragha na kutojulikana, kusaidia kutokuwa na upatikanaji na matumizi yaliyozuiliwa, na kuongeza uelewa wao wa kisayansi na mkubwa.

  • Kazi
  • Blogi
  • Mawasiliano
  • Habari
  • PrivChat
Changia sasa

JIANDIKISHE KUPOKEA JARIDA LETU

Pata taarifa na fursa za kila mwezi kutoka Tor Project:

JISAJILI

Trademark, copyright notices, and rules for use by third parties can be found in our Trademark and Brand policy.

English (en) Deutsch (de) Español (es) ﻑﺍﺮﺴﯾ (fa) Français (fr) Română (ro) Русский (ru) Türkçe (tr)